Thursday, April 10, 2014

MWAKILISHI WA WALIO WACHACHE BUNGE MAALUM LA KATIBA MHE. DAVID KAFULILA ASHANGILIWA NA WENZAKE.


Mwakilishi wa walio wachache  katika kamati namba tano, Mhe.David Kafulila akiwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake

Mwakilishi wa walio wachache  katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha mapendekezo ya walio wachache katika kamati yake Picha na na Deusdedit Moshi

Mwakilishi wa waliowachache  katika kamati namba tano,Mhe.David Kafulila katikati akishangiliwa na baadhi ya wajumbe baada ya kuwasilisha mapendekezo yao 


0 Responses to “MWAKILISHI WA WALIO WACHACHE BUNGE MAALUM LA KATIBA MHE. DAVID KAFULILA ASHANGILIWA NA WENZAKE.”

Post a Comment

More to Read