Saturday, April 26, 2014
SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM.
Do you like this story?
![]() |
| Kikosi cha Makomandoo kikipita kwa mwendo wa aina yake wakati wa sherehe za miaka 50 ya Muungano. |
![]() |
| Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano ambazo zimefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. |
![]() |
| Kikosi cha Makomandoo kikitoa salaam kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Muungano. |
![]() |
| Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono. |
![]() |
| Baadhi ya silaha zakijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha uwezo mkubwa wa jeshi letu. |
![]() |
| Kikosi cha Wanamaji |
![]() |
| Ndege za kivita zikilinda Ndege ya Rais katika maonyesho ya Ndege yaliofanyika kwenye Kilele cha Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano. |
![]() |
| Askari wa kikosi cha Mwamvuli akishuka kutoka futi 4500 kwenye uwanja wa Uhuru kwenye kilele cha miaka 50. |
![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pongezi mmoja wa wanajeshi wa kikosi cha mwamvuli . |
![]() |
| Maandamano ya Pikipiki. |
![]() |
| Njiwa wakirushwa juu kama ishara ya miaka 50 ya Muungano ambapo watu waliorusha njiwa hao nao wametimiza miaka 50. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)














0 Responses to “SHEREHE ZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM.”
Post a Comment