Sunday, June 1, 2014
MWILI WA MAREHEMU GEOGRE TYSON WAWALISI JIJIONI DAR ES SALAAM WAHIFADHIWA KATIKA HOSPITALI YA KAIRUKI
Do you like this story?
![]() |
Waombolezaji wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu Geogre Tyson kuupeleka Mochwari |
![]() |
Dada wa Marehemu Tyson,Dooren akilia kwa simazi mara ya Mwili wa kaka ya ke kuwasili |
![]() |
Mastaa wa filamu, Rose Ndauka (kushoto) na Jack Pentzel wakiwa hospitali ya Kairuki kupokea mwili wa Tyson |
![]() |
Mwili wa Tyson ukiwa Mochwari katika Hospitali ya Kairuki |
![]() |
Gari lililokuwa limebeba Mwili wa Marehemu Tyson kutoka Wilayani Mvomero likiwasili Hospitali ya Kairuki likitokea Mkoani Morogoro |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MWILI WA MAREHEMU GEOGRE TYSON WAWALISI JIJIONI DAR ES SALAAM WAHIFADHIWA KATIKA HOSPITALI YA KAIRUKI”
Post a Comment