Tuesday, July 8, 2014

TAZAMA PICHA ZA UFUNGUZI WA TAWI JIPYA LA MBEYA CITY MTAA WA ISANGA JIJINI MBEYA


Mwenyekiti wa Timu ya Mbeya City Bw Musa Mapunda akitoa Hotuba yake kwenye ufunguzi wa Tawi jipya la Mbeya City Mtaa wa Isanga Jijini Mbeya

Mheshimiwa Diwani wa kata ya Isanga Duru Mohamed  ambae pia ni mlezi wa Tawi la Isanga





Mwenyekiti wa Mbeya City Bw Musa Mapunda(aliyevaa sweta)akiwa na Mwenyekiti wa Tawi jipya la Isanga Emanuel Mwaipaja wakionyesha furaha ya Tawi jipya

Washabiki wa Tawi Jipya la isanga wakionyesha ishara za ushindi zaidi




Wanachama wa Tawi la Mbeya City Mtaa wa Isanga

Picha na Fahari News

0 Responses to “TAZAMA PICHA ZA UFUNGUZI WA TAWI JIPYA LA MBEYA CITY MTAA WA ISANGA JIJINI MBEYA”

Post a Comment

More to Read