Tuesday, March 24, 2015
BENKI YA CRDB YAZINDUA HUDUMA YA MIKOPO YA PIKIPIKI YA JIENDESHE JIJINI MBEYA.
Do you like this story?
| Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akizungumza katika Uzinduzi wa huduma ya Mikopo ya Bajai na Bodaboda katika ukumbi wa Mkapa jijini hapa |
| Baadhi ya pikipiki za washindi wa huduma ya mikopo ya jiendeshe inayotolewa na Bank ya CRDB kwa lengo la kuwainua madereva wa bodabodana bajaji katika jiji la Mbeya, |
| Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi akizungumza katika hafla hiyo ambapo pia ametoa wito kwa madereva hao kuwa makini katika shughuli zao. |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt Charles Kimei akimkabidhi pikipiki mmoja wa madereva bodaboda ambao tayari wamekwisha nufaika na huduma hiyo ya Jiendeshe |
| Baadhi ya madereva wa bodaboda ambao wamenufaika na huduma ya Jiendeshe katika picha ya pamoja na Meza kuu., |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)

0 Responses to “ BENKI YA CRDB YAZINDUA HUDUMA YA MIKOPO YA PIKIPIKI YA JIENDESHE JIJINI MBEYA.”
Post a Comment