Monday, March 27, 2017

AUDIO;SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA WEUSI MADARAKA YA KULEVYA



weusi

Kundi la muziki la Weusi linaoundwa na wasanii mbalimbali akiwemo Joh Makini, Nikki wa Pili na G Nako wote kutokea Arusha wameachia wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Madaraka ya Kulevya.

Wimbo huu umekuja ikiwa ni muda mrefu umepita bila wasanii hawa watatu kutoa wimbo wa kundi ambapo kila mmoja alikuwa amejikita kufanya kazi zake mwenyewe.
Usikilize wimbo huo hapa chini;

0 Responses to “AUDIO;SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA WEUSI MADARAKA YA KULEVYA”

Post a Comment

More to Read