Sunday, April 30, 2017

TIMU YA VIONGOZI WA SERIKALI YAFANYA MAZOEZI YA MWISHO TAYARI KUIKABILI TIMU YA VIONGOZI WA DINI KESHO


Viongozi Mbalimbali wa Serikali wakipasha(picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)




Viongozi Mbalimbali wa Serikali wakipasha(picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)



Viongozi Mbalimbali wa Serikali wakipasha (picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Amosi Makalla akifanya mazoezi ya viungo (picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Amosi Makalla ambae pia ndio Kiongozi wa Timu ya Serikali  akitoa maelezo jinsi gani ya kucheza kesho na Viongozi wa Dini, ikiwa leo ndio ilikuwa mwisho wa mazoezi.(picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)



- Mshindi atapokea kombe litakaloitwa MSHINDI WA AMANI 2017
- Mechi ni kesho saa 10 :00 jioni uwanja wa Sokoine. Kiingilio bure
Timu ya Viongozi  wa serikali chini ya kocha mchezaji na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo imefanya Mazoezi ya  mwisho tayari kuikabili timu ya Viongozi wa Dini
mbeya
Timu ya Viongozi  wa serikali imepania kulipa kisasi kwani mechi ya  mwisho mwaka 2015 timu ya Viongozi wa dini waliifunga timu ya viongozi wa serikali

0 Responses to “TIMU YA VIONGOZI WA SERIKALI YAFANYA MAZOEZI YA MWISHO TAYARI KUIKABILI TIMU YA VIONGOZI WA DINI KESHO”

Post a Comment

More to Read