Sunday, May 17, 2015
HIKI NDICHO KIKOSI BORA CHA VPL 2014/2015 KILICHOPENDEKEZWA NA JOSEPH KANAKAMFUMU
Do you like this story?
BAADA ya kuona
vikosi bora vya ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015 uliomalizika mei
9 mwaka huu kutoka kwa makocha Hans van der Pluijm (Yanga), Jamhuri Kiwhelo
(Coastal Union), Juma Mwambusi (Mbeya City) na Mecky Mexime (Mtibwa Sugar),
jana tuliahidi kuleta kikosi bora cha kocha Joseph Kanakamfumu na hiki ndicho
kikosi chake bora alichopendekeza:
1. Ally Mustafa (Yanga)
2. Juma Abdul (Yanga)
3. Mohamed Hussein
‘Tshabalala’ (Simba)
4. Salim Mbonde (Mtibwa
Sugar)
5. Kelvin Yondani
(Yanga)
6. Michael Balou (Azam
fc)
7. Said Ndemla (Simba)
8. Salum Telela (Yanga)
9. Simon Msuva (Yanga)
10. Rashid Mandawa (Kagera Sugar)
11. Deus Kaseke (Mbeya City)
Kanakamfumu amesema katika kikosi chake hajawaweka wachezaji
kwa kigeni kwasababu utafiti wake uliangalia zaidi wachezaji wazawa, lakini kwa
upande wa kocha bora msimu wa 2014/2015 amemtaja kocha wa Yanga, Hans van
der Pluijm.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.gif)

0 Responses to “HIKI NDICHO KIKOSI BORA CHA VPL 2014/2015 KILICHOPENDEKEZWA NA JOSEPH KANAKAMFUMU”
Post a Comment