Wednesday, August 3, 2016

ZIARA YA WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO MH MAKAME MBARAWA MKOA WA MBEYA.


Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa uwanja wa Ndege wa Songwe mara Baada ya kuwasili.picha na (David Nyembe wa Fahari News)

Uwanja wa Ndege Songwe Airpot.


Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa mawasiliano.


Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Tazara Tanzania akieleza jinsi wananchi wanaochimba mchanga katika mto wa Mbalizi ambao leli imepita kwa juu.




Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh Makame Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa kalakana ya Tazara Bw. Ezekiel Mangateko.Pia alitoa changamoto ambazo wanakumbana nazo wakati wa kazi pia alisema kuawa karakana hiyo inatoa Huduma ya matengenezo ya Vichwa vya Treni aina ya Diesel Electric(DE) pekee, Aidha alisema kuwa hadi sasa Karakana hiyo ina vichwa vya Treni vinavyo hudumia na karakana ni 39 tu.



Waziri wa Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mh Makame Mbarawa Alielezwa uzalishaji katika kipindi cha Robo (April-Juni,2016) ya Mwisho wa mwaka wa fedha  2015/2016 wameweza kusafirisha abiria 14,677 na mizigo midogo tani 484, mizigo ni jumla ya tani 28,930 za mizigo ikiwemo shaba toka Zambia (tani20,125), Steel coils (tani 3,584) saruji (tani 1,605) Mbolea (tani 150) nk

0 Responses to “ZIARA YA WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO MH MAKAME MBARAWA MKOA WA MBEYA.”

Post a Comment

More to Read