Sunday, December 8, 2013
Do you like this story?
RAIS JACOB ZUMA ATANGAZA SHUGHULI ZA MAZISHI YA NELSON MANDELA
Rais Jacob Zuma atangaza shughuli za mazishi pamoja na siku kumi za maombelezo ya msiba wa Nelson Mandela.
Inatarajiwa maiti yake kuagwa na kupewa heshima za Mwisho katika uwanja wa michezo wa Johnannesburg na Mazishi yake yatafanyika kijijini kwao Qunnu tarehe 15 Desemba Mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)


0 Responses to “ ”
Post a Comment