Monday, February 24, 2014


GHARAMA BUNGE LA KATIBA KUATHIRI BAJETI YA SERIKALI



Bajeti ya miradi ya maendeleo iliyopangwa kutekelezwa katika mwaka wa fedha  wa 2013/2014 ,huenda isikamilike kutokana na bajeti ya Bunge la katiba kuwa kubwa.

Hayo yalisemwa na waziri wa maendeleo ya mifugo na uvuvi , Dk Titus Kamani,alipokuwa akizungumza na watumishi wa wakala wa utafiti wa mifugo,wakala wa vyuo vya mifugo na wakala wa maabara mkoani Dodoma.

Dk Kamani alisema kutokana na hofu hiyo ,ni vizuri wakala hao wakatafuta jinsi nyingine ya kupata fedha kwajili ya kukamilisha miradi hiyo.








0 Responses to “ ”

Post a Comment

More to Read