Monday, March 24, 2014
TAZAMA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI TOFAUTI KATIKA ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI TANGA, ALIVYOZINDUA BWAWA LA MAJI MKATA HANDENI.
Do you like this story?
![]() |
![]() |
![]() |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua baadhi ya madume bora ya ng’ombe na kisha kuwakabidhi baadhi ya wafugaji katika kijiji cha Msomela wilayni Handeni leo. |
![]() |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mmoja wa wafugaji mwenye asili ya kimasai bwana Shayo Lahoda aliyegawiwa dume bora la ng’ombe katika kijiji cha Msomela wilayani handeni leo |
![]() |
|
![]() |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na ngoma za utamaduni baada ya kuzindua Bwawa la Maji la Mkata wilayani Handeni leo |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “TAZAMA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI TOFAUTI KATIKA ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI TANGA, ALIVYOZINDUA BWAWA LA MAJI MKATA HANDENI.”
Post a Comment