Sunday, April 13, 2014
MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA YA KUKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO DAR NA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MPIJI.
Do you like this story?
Nguzo za umeme zikiwa zimeinama baada ya kuzidiwa nguvu na maji hayo yaliyobomoa daraja. |
Malori yakimwaga vifusi vya Mawe kwenye daraja hilo. |
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wanaosimamia shughuli ya daraja hilo, baada ya kuwasili eneo hilo leo. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MAKAMU WA RAIS AFANYA ZIARA YA KUKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO DAR NA MAENDELEO YA UJENZI WA DARAJA LA MPIJI.”
Post a Comment