Tuesday, May 27, 2014
MBEYA CITY FC YAKUBALI KIPIGO CHA 2-1 KUTOKA KWA AFC LEOPARD MJINI KHARTOUM
Do you like this story?
TAARIFA zilizoifikia FAHARI NEWZ kutoka
mjini Khartoum nchini Sudan ni kwamba wawakilishi wa Tanzania katika michuano
ya CECAFA Nile Basin Cup, Mbeya City fc chini ya kocha mkuu Juma Mwambusi
wamefungwa mabao 2-1 na AFC Leopard ya Kenya katika mchezo uliopigwa kuanzia
majira ya saa 2:00 kamili usiku mjini Khartoum.
Bao la Mbeya City fc limefungwa na
kiungo mshambuliaji, Deus Kaseke.
Hata hivyo inaelezwa kuwa mchezo huo
ulikuwa mzuri kwa timu zote, lakini AFC walikuwa wa kwanza kupata bao la
kuongoza.
Ushindi huo unawafanya AFC Leopard
wakae kileleni mwa kundi B baada ya kufikisha pointi 6.
Endelea kufuatilia mtandao huu,
utakupatia habari zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MBEYA CITY FC YAKUBALI KIPIGO CHA 2-1 KUTOKA KWA AFC LEOPARD MJINI KHARTOUM”
Post a Comment