Friday, June 20, 2014

JOSE MOURINHO ATOA MACHOZI IVORY COAST.





Manager ambae analipwa kiasi kikubwa sana cha pesa kuliko managers wengine wa “England Premier League” (EPL) wa timu ya ‘Chelsea FC’ ya mjini London nchini England ‘Jose Mourinho’, hivi karibuni alitoa machozi baada ya kutembelea nchini ‘Ivory Coast’ kam Jose alionyesha hali huzuni safari yake yote na kusema kuwa timu na wachezaji wa kulipwa inabidi wawe wanakatwa kiasi cha
pesa kwa ajili ya kusaidia watu wasioweza kupata chakula huko afrika. a ambassador wa “UN World Food Programme”

Jose alitembelea kambi za wakimbizi na hospitali za wagonjwa wa HIV na kuona ni jinsi gani kuna binadamu ambao wanahangaika kupata mlo hata mmoja tu kwa siku, ikiwa wao wanapata pesa nyingi sana ambazo wanaishi zaidi ya maisha ya kawaida. Jose aliahidi na alisema yupo tayari kutoa msahara wake wa wiki moja kwa kila mwezi kuweza kusaidia watu wasiokuwa na uwezo wa kupata chakula huko afrika.

Vile vile Manager hiyo amezungumzia kuwa anaipenda sana nchi ya England kwa mapenzi waliyokuwa nae na angependankuwa Manager wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kama akipewa offer hiyo.A

0 Responses to “JOSE MOURINHO ATOA MACHOZI IVORY COAST.”

Post a Comment

More to Read