Monday, June 9, 2014
TAZAMA PICHA ZA HALI YA MGOMO WA DALADALA ILIVYOKUWA LEO JIJINI MBEYA.
Do you like this story?
![]() |
| Mwandishi wa Habari Wa Mbeya Fm Radio Bw Stanslaus Lambat akifanya mahojiano na mmoja wa Madereva wa Daladala |
![]() |
| Huu Ndio usafiri Mkubwa leo jiji Mbeya |
![]() |
| Polisi wa Usalama Barabarani Bw Magacha akijaribu kutoa ufafanuzi juu ya usafiri |
![]() |
| Abiria wakiwa katika harakati za kupanda |
![]() |
| Baadhi ya Madereva na makonda wa Daladala wakiwa wanasubiri hatima ya mgomo mzima |
![]() |
| Huu ndio usafiri leo katika jiji la Mbeya baada ya mgomo wa daladala kutaka kupandisha Nauli toka 400 hadi mia 500 |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)









0 Responses to “TAZAMA PICHA ZA HALI YA MGOMO WA DALADALA ILIVYOKUWA LEO JIJINI MBEYA.”
Post a Comment