Friday, June 6, 2014

WANANDINGA UHOLANZI TABASAMU TUPU...WAKWEA PIPA KUELEKEA BRAZIL


Dirk Kuyt (kushoto) akimuaga mke na mtoto wake.

Mlinda mlango wa Swansea,  Michel Vorm  aliungana na kikosi cha Uholanzi kwenda Brazil

Mtu muhimu: Mashabiki wa Uholanzi wanamtegemea zaidi Robin van Persie (katikati).

Kila la kheri: Kocha wa Uholanzi Louis van Gaal akiwapungia mkono mashabiki kabla ya kukwea pipa kuelekea Brazil.


walionekana wenye tabasamu kubwa wakati wakijiandaa kupaa angani na ndege licha ya kuagana na wapenzi wao jana alhamisi.

Nyota hao wa Uholanzi walipozi katika picha na wake na watoto zao kwenye hoteli ya timu hiyo kabla ya kwenda uwanja wa ndege wa  Schipol airport tayari kwa kuanza safari ya kwenda Brazil.

Wesley Sneijder na Dirk Kuyt walionekana kuwa karibu zaidi na familia zao huku wakifurahi kwa dakika za mwisho mwisho.

0 Responses to “WANANDINGA UHOLANZI TABASAMU TUPU...WAKWEA PIPA KUELEKEA BRAZIL”

Post a Comment

More to Read