Thursday, July 24, 2014

KIKAO CHA MWISHO MAANDALIZI YA NANENANE CHAFANYIKA MBEYA.


Mkuu wa Wilaya ya Chunya ambaye kwa sasa anakaimu Ukuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Deodatus Kinawilo akifungua mkutano wa mwisho wa maandalizi ya sherehe za Nane nane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini ambapo sherehe hufanyika katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya (.Picha na Keneth Ngelesi)



Baadhi ya wakuu wa Wilaya Mkoani  Mbeya wakifuatilia kwa makini  mkutano huo ambapo kubwa lililo ibuka ndani ya mkutano huo ni juu ya ukamilisha wa michango kwa ajili ya sherehe hizo ambapo imeelezwa kuwa bado kuna dalili za kusuasua kwa kuanza kwa maonyesho hayo kutokana na washirika wengi ambao ni mikoa husika kuto wasilisha fedha hizo  kwa muda michango yao


0 Responses to “KIKAO CHA MWISHO MAANDALIZI YA NANENANE CHAFANYIKA MBEYA.”

Post a Comment

More to Read