Wednesday, August 20, 2014

li> MKUU WA MAJESHI TANZANIA JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AFUNGUA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO ZANZIBAR.





Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange, akikata utepe kuashiria kuufunguauwanja mpya wa michezo ya majeshi Zanzibar yanayotarajiwa kufunguliwa kesho na Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, katika uwanja wa Amaan, jumla ya nchi tano zinashiriki michezo hiyo Tanzania, Kenya, Uganda Ruwanda na Burundi.kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Mhe.Abdallah Mwinyi Khamis na kulia Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Shariff Shekh  Othman.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamungyange, akiikagua timu ya JWTZ, baada ya Kuuzindua Uwanja Mpya wa Michezo ya Majeshi, yanayotarajiwa kufunguliwa kesho uwanja wa Amaan na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein,

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamungyange, akiikagua timu ya Vikosi vya SMZ, baada ya Kuuzindua Uwanja Mpya wa Michezo ya Majeshi, yanayotarajiwa kufunguliwa kesho uwanja wa Amaan na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein,

0 Responses to “ li> MKUU WA MAJESHI TANZANIA JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AFUNGUA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO ZANZIBAR. ”

Post a Comment

More to Read