Tuesday, August 26, 2014

RAIS DR. SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa  Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira alikuwa Naibu Waziri wa Afya.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Juma Duni Haji  kuwa Waziri wa  Miundombinu na Mawasiliano katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla alikuwa  Waziri wa Afya.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Rashid   Seif Suleiman kuwa Waziri wa Afya,awali alikuwa Waziri wa   Miundombinu na Mawasiliano hafla ya kiapo ilifanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mahmoud Thabit Kombo  kuwa Naibu Waziri wa Afya,  hafla ya kiapo ilifanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Mwanajuma Majid Abdulla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana ,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, (Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

0 Responses to “RAIS DR. SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU.”

Post a Comment

More to Read