Saturday, September 20, 2014

MBEYA CITY FC YAKAZIWA NA WAGENI JKT RUVU KATIKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA.











Kipa wa Jkt Ruvu akitolewa nje na wachezaji wa Timu yake mara baada ya kugongana na Mchezaji mwenzake wakati wakijaribu kuokoa gori.

Kipa akitolewa nje na Daktari wa timu mara baada ya kuumia jicho na kushindwa kuendelea na mchezo huo



Wagonga nyundo wa Mbeya, Mbeya City kama ilivyokuwa msimu uliopita, wameanza ligi kwa kutoa suluhu pacha ya bila kufungana (0-0) katika dimba lao la Sokoine jijini Mbeya dhidi ya JKT Ruvu.

Afisa habari wa Mbeya City, Dismas Ten amesema mechi ilikuwa ngumu kwa timu zote na matokeo hayo ni ya kawaida katika mpira, lakini benchi la ufundi litakaa chini kufanya marekebisho.

0 Responses to “MBEYA CITY FC YAKAZIWA NA WAGENI JKT RUVU KATIKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA.”

Post a Comment

More to Read