Saturday, September 13, 2014
MFANYABAISHARA MAARUFU AFARIKI DUNIA BAADA YA KUBAKWA NA WAKE ZAKE WATANO.
Do you like this story?
MFANYABIASHARA
maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake
watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwamujibu wa gazeti la Dail Mail.
Awali Kabla ya kurejea nyumbani kwake inatajwa kuwa Uroko Onoja alikuwa akipata
ulabu wake (pombe) katika baa moja huko Ugbugbu katika jiji la Benue hadi mida
ya majogoo.
Tajiri
huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa na usongo wa mambo
nyeti ya sita kwa sita, aliamua kukata kiu kwa mke wake mdogo (mke wa sita).
Hata hivyo, wake zake wakubwa watano ile kuona hatua hiyo, ndipo walipoingiwa
na wivu nao wakachukuwa hatua ya kutinga chumbani nao wapewe mambo. Wakiwa na
silaha za asili kama visu na fimbo walivamia kitanda cha Onoja na kumlazimisha
to have sex with them as well.
Onoja
alitumika kwa wake zake wanne kwa zamu. Lakini hali ilikuwa tete pindi mke wa
tano alipo mkaribia mfanyabiashara huyo ili naye apewe mambo. Onoja
alikuwa akipumua kwa taabu sana, kisha pumzi zikakata akafariki dunia papo
hapo. Kuona hali hiyo mke huyo wa tano akatokomea kusikojulikana, ile hali wake
wengine wawili kati ya hao wanashikiliwa na jeshi la polisi nchini Nigeria kwa
kosa la mauaji na ubakaji. Onoja was a prominent member of the Ugbugbu
community.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MFANYABAISHARA MAARUFU AFARIKI DUNIA BAADA YA KUBAKWA NA WAKE ZAKE WATANO.”
Post a Comment