Tuesday, December 2, 2014
ATUMIA ARV's KIMAKOSA, APOOZA MWILI
Do you like this story?
Mwanaume mmoja nchini Kenya amewashtaki katika mahakama kuu madaktari
watano wa hospitali kuu Kenyatta kwa kumpima na kusema kuwa ana Virusi vya HIV
halikadhalika kumpa dawa za kupambana na makali ya virusi vya ukimwi yaani ARV.
Peter Mungai anadai kuwa alitumia dawa hizo kwa miaka mitano na
zimemsababishia mwili wake kupooza.
Anadai kuwa alienda katika hospitali nyingine na alipopimwa iligundulika
kuwa hana virusi hivyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ ATUMIA ARV's KIMAKOSA, APOOZA MWILI ”
Post a Comment