Monday, February 16, 2015

WATU 40 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MBAYA MBEYA.


Wananchi wakijaribu kumsaidia Dereva aliyebanwa na hiace iliyopata ajali asubuhi ya leo maeneo ya mama john.









(Picha na Fahari news))


Kiasi cha watu arobaini wamenusurika kifo katika ajali ya barabarabi mkoani mbeya asubuhi ya leo baada ya magari mawili ya abiria (daladala) kugongana maeneo ya Mama John.

Magari yaliyohusika katika ajali hiyo ni yenye namba za usajili T 348 AKH lililokuwa likitokea Uyole na gari lenye namba za usajili T 804 CKF lililokuwa likitotea Kabwe ambapo hakuna abiria yeyote aliyedhurika na ajali hiyo isipokuwa dereva wa gari namba T 348 AKH ambaye hakufahamika jina mara moja ndiye aliyejeruhiwa vibaya mguu wake wa kulia.

0 Responses to “WATU 40 WANUSURIKA KIFO KATIKA AJALI MBAYA MBEYA.”

Post a Comment

More to Read