Thursday, February 26, 2015
WAZIRI MKUU PINDA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIJINI MBEYA
Do you like this story?
| Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wakazi wa mji wa Mbeya mjini mara baada ya uzinduzi wa Soko la Mwanjelwa. |
| Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akipewa maelezo mafupi ya maendeleo ya soko hilo kutoka kwa mkandalasi wa ujenzi wa Soko hilo. |
| Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya,Mh. Mary Mwanjelwa akizungumza machache. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)

0 Responses to “WAZIRI MKUU PINDA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIJINI MBEYA”
Post a Comment