Sunday, June 7, 2015
TAZAMA PICHA YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI ILIVYOKUWA KATIKA JIJI LA MBEYA.
Do you like this story?
| Mkuu wa Wilaya Mbeya Mh.Nyirembe Munassa akitoa hutuba kwa wananchi wa jiji la Mbeya umuhimu wa kutunza Mazingira. |
| Mkuu wa Wilaya Mbeya Mh.Nyirembe Munassa akipewa maelezo kutoka Mamlaka ya Maji safi jiji la Mbeya. |
| Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi wakiwa katika picha ya pamoja siku ya Mazingira Duniani. |
| Mkuu wa Wilaya Mbeya Mh.Nyirembe Munassa akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji jinsi ya kutunza Mazingira. |
Picha na David Nyembe wa Fahari News .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)

0 Responses to “TAZAMA PICHA YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI ILIVYOKUWA KATIKA JIJI LA MBEYA.”
Post a Comment