Friday, October 16, 2015

DEO FILIKUNJOMBE, CAPT. WILLIAM SLAA WAFARIKI DUNIA




Alichokisema Jerry Slaa kupitia akaunti yake ya Instagram
"Baba yangu Capt.William Silaa akiwa na Mhe.Deo Filikunjombe na abiria wengine walipata matatizo ya engine ya helicopter 5Y-DKK jana jioni wakitokea Dar kuelekea Ludewa. Taarifa za mwisho ilionekana imeanguka kwenye msitu wa Selous. Hakuna mawasiliano ya simu. Usiku kucha vyombo vyote vya serikali vimeendelea na jitihada za kufika eneo la tukio na jitihada kubwa zaidi zinaendelea asubuhi hii.
Nawaomba wote kuwa watulivu kwani jambo hili linahitaji umakini wa hali ya juu na ushirikiano wa taasisi nyingi za wizara tofauti.
Tuwaombee wote Mungu awanusuru.
JS"

0 Responses to “DEO FILIKUNJOMBE, CAPT. WILLIAM SLAA WAFARIKI DUNIA”

Post a Comment

More to Read