Friday, October 16, 2015

HAPPY BIRTHDAY!! BONIFACE MAGANGA



Kocha wa Simba SC, Dylan Kerr (katikati) akiwakabidhi keki ya kuadhimisha kuzaliwa kwa nyota wake Hamis Kiiza (kushoto) na Boniface Maganga (kulia) katika hafla fupi iliyofanyika leo asubuhi katika dimba la Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.


Kocha Dylan Kerr (kulia) akimpakaza keki usoni kiungo wake Boniface Maganga (kulia)


Kama utani vile lakini ndio upendo na umoja katika timu, Kocha wa Simba Dylan Kerr (katikati) na wachezaji wake wakiwapongeza Kiiza na Maganga kwa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwao.


Kocha Kerr (kushoto) na kocha msaidizi Selemani Matola (kulia) wakimpongeza Boniface Maganga (katikati) katika staili ya aina yake wakati wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwake.


Hamisi Kiiza na Boniface Maganga


Kiiza (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake.

0 Responses to “HAPPY BIRTHDAY!! BONIFACE MAGANGA ”

Post a Comment

More to Read