Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa
kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe
Joseph Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo
ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa
pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni
jioni hii Oktoba 29, 2015. |
0 Responses to “JK AMPONGEZA RAIS MTEULE DK. MAGUFULI IKULU, DAR JIONI HII”
Post a Comment