Sunday, October 11, 2015

SEKI WA ZE ORIJINO KOMEDI APATA 'JIKO'


Maharusi katikati wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya na wageni waliohudhuria kwenye harusi hiyo.

Wakuvanga na Bi. harusi

Wachekeshaji wa kundi la Ze Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya 'Masanja Mkandamizaji' na Mc Legan wakicheza na Bi harusi.

Joti wa Ze Orijino Komedi akiwa katika pozi na Bi harusi.

Masanja na Bi harusi.

Selfie ikichukua nafasi.

Masnja Mkandamizaji na Bwana harusi ambaye ni Muandaaji wa vipindi vya kundi la wachekeshaji la Ze Orijino Komedi 'OK', Sekione David 'Seki'.

Furaha ikipamba moto.

0 Responses to “SEKI WA ZE ORIJINO KOMEDI APATA 'JIKO'”

Post a Comment

More to Read