Monday, February 1, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI ALAANI MAUAJI YA RUBANI WA HELIKOPTA ILIYOTUNGULIWA NA MAJANGILI WA TEMBO




Kufuatia kuuliwa kwa rubani aliyekuwa akiendesha helikopta katika pori la akiba lililopo wilaya ya Meatu mkoani Simiyu kuuliwa na majangili wa tembo, Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amelaani mauaji hayo.

0 Responses to “ RAIS DKT. MAGUFULI ALAANI MAUAJI YA RUBANI WA HELIKOPTA ILIYOTUNGULIWA NA MAJANGILI WA TEMBO”

Post a Comment

More to Read