Friday, April 1, 2016

ARAF YATOA MSAADA WA MABATI 600 YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA ILIYOKUWA IMEUNGUA. MBEYA


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh Nyilembe Munasa (kushoto) akipokea Msaada wa Mabati kutoka kwa Meneja wa Alaf kanda ya mbeya Bw Dipanjan Ray.(Picha na David Nyembe)


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mh Nyilembe Munasa akimshukuru Meneja Mauzo Bw Samson Tematema kwa Msaada wa Bando 50 ambazo ni sawa na mabati 600 kwa ajili ya Shule ya Sekondari Iyunga.(Picha na David Nyembe)


Mabati yakishushwa katika Shule ya Sekondari Iyunga.




Mwonekano wa Mabweni ya shule ya Iyunga.(Picha na David Nyembe)


Mwonekano wa Mabweni ya shule ya Iyunga.(Picha na David Nyembe)

 Kwa Habari Mbalimbali za michezo, Burudani, vichekesho Endelea kutembelea www.faharinews.blogspot.com









0 Responses to “ARAF YATOA MSAADA WA MABATI 600 YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI IYUNGA ILIYOKUWA IMEUNGUA. MBEYA”

Post a Comment

More to Read