Hatimaye ile ndoto ya muda mrefu
ya Watanzania kuona daraja la Kigamboni likikamilika imewadia baada ya
ujenzi ulioanza mwaka 2012 kukamilika na kesho Aprili, 19 linataraji
kuzinduliwa na Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.
0 Responses to “MUONEKANO WA DARAJA LA KIGAMBONI.(PICHA )”
0 Responses to “MUONEKANO WA DARAJA LA KIGAMBONI.(PICHA )”
Post a Comment