Saturday, August 6, 2016
MAKAME MBARAWA:AAGIZA MELI ZIKAMILIKE KWA HARAKA SANA.KYELA MBEYA
Do you like this story?
| Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa akiwa kwenye kwenye Boti kutoka bandari ya Kiwira akielekea Bandari ya Itungi Wilaya ya Kyela kukagua Meli. |
| Meneja wa Sumatra Mkoa wa Mbeya Bw Daudi Denis wa Katikati akichukua tukio kwa simu yake. |
| Mkurungezi wa Kampuni ya Songoro Marine Transport inayounda Meli Mhandisi Saleh Songoro akitoa maelezo jinsi meli ilipofikia kwa Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa. |
| Mkurungezi wa Kampuni ya Songoro Marine Transport inayounda Meli Mhandisi Saleh Songoro akitoa maelezo jinsi meli ilipofikia kwa Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa. |
| Mwonekano wa Meli za Mizigo ambazo zimefikia atua ya Mwisho kuanza kufanya kazi. |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

.gif)

0 Responses to “MAKAME MBARAWA:AAGIZA MELI ZIKAMILIKE KWA HARAKA SANA.KYELA MBEYA ”
Post a Comment