Wednesday, May 3, 2017

PICHA,WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO KWA KUPANDA MITI


waandishi wa habari mkoa wa Mbeya wakiwa katika stendi ya mabasi kabwe kwa ajili ya kwenda kuadhimisha siku ya maadhimisho ya vyombo vya habari kwa kupanda miti




Waandishi wakiwa katika maandamano kuelekea katika zoezi la upandaji miti

Waandishi wa habari wakiwa tayari kwa kuanza kupanda miti katika chanzo cha maji Nzovwe

Katibu wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mbeya FRED HERBET akipanda mti katika kuadhimisha siku ya waandishi wa habari





JACKLINE CHARZ mtangazaji wa Mbeya fm akishiriki katika zoezi la upandaji mti katika kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari

Mwandishi wa gazeti la majira mkoa wa Mbeya Esther Macha akipanda mti kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari nchini
 
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Mbeya ModestusNkulu akiongea na waandishi wa habari baada ya kupanda mti




Mara baada ya upandaji miti waandishi wa habari wakapiga picha ya pamoja



0 Responses to “PICHA,WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO KWA KUPANDA MITI”

Post a Comment

More to Read