Friday, April 25, 2014
HIZI HAPA NDIO PICHA ZA UWANJA MPYA WA LIVERPOOL NA NAMBA YA WATAKAOWEZA KUINGIA UWANJANI.
Do you like this story?
Anfield
imekuwa ikisimamia kwenye watu 45,362, tofauti na viwanja vikubwa kama
Old Trafford na Emirates Stadium, ila baada ya marekebisho uwanja mpya
utaweza kupokea watu 58,800 kitu kitakacho fanya uwe na namba 3 kwa
ukubwa kwenye viwanja vya Premier League ukiwa umepitwa kidogo na uwanja wa Arsenal.
Liverpool wakiweza kukamilisha mipango yao na kupata kibali basi kazi itaanza mwanzo wa mwaka 2015, na mabadiliko ya Anfield yataonekana kwa mara ya kwanza mwanzo wa mwaka 2016 au kwenye msimu wa ligi wa mwaka 2017.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “HIZI HAPA NDIO PICHA ZA UWANJA MPYA WA LIVERPOOL NA NAMBA YA WATAKAOWEZA KUINGIA UWANJANI.”
Post a Comment