Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtembezea sehemu mbali mbali za Ikulu na
Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma aliyemtembelea leo April 27,
2014.Mhe Nujoma alikuwa ni mmoja wa watu mashuhuri waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru jana.
0 Responses to “RAIS KIKWETE AONANA NA RAIS MSTAAFU WA NAMIBIA MHE SAM NUJOMA LEO.”
0 Responses to “RAIS KIKWETE AONANA NA RAIS MSTAAFU WA NAMIBIA MHE SAM NUJOMA LEO.”
Post a Comment