Saturday, April 26, 2014
RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI NA TUZO ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO.
Do you like this story?
Mama Maria Nyerere akipokea nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano(Order) kwa niaba ya Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Mama Maria Nyerere Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungnao Daraja nne. |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa kuamkia leo ametunuku nishani
na Tuzo kwa viongozi mbalimbali wa kitaifa na watumishi wa umma wapatao
86 waliotoa mchango wao katika kuulinda na kuudumisha muungano wa
Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka Hamsini 50.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI NA TUZO ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO.”
Post a Comment