Tuesday, May 20, 2014
UKAMATWAJI WA CHATU MBEYA
Do you like this story?
Hii ni Video ikionesha namna ambavyo Chatu aliweza kukamatwa..
Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji.
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka |
Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia |
Hali hiyo ikapelekea Kujitokeza kwa Vijana hawa wawili kutokea Bagamoyo na Tanga kwaajili ya kumkamata Chatu huyo.... Hatimaye wamemkamata Chatu Mtoto amekamatwa huku Juhudi zikiendelea Kuhakiki kama kuna Chatu wengineo.... Tazama Video Hii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “UKAMATWAJI WA CHATU MBEYA”
Post a Comment