Sunday, June 29, 2014

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI AKITOKEA MJINI MALABO EQUTORIAL GUINEA.



Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Ilala Mhandisi Raymond Mushi akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Rais kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea Malabo Equtorial Guinea ambapo alikwenda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika(AU) uliomalizika jana.Kushoto ni Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamunyange.
Picha na Freddy Maro

0 Responses to “RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI AKITOKEA MJINI MALABO EQUTORIAL GUINEA.”

Post a Comment

More to Read