Thursday, August 27, 2015

UCHAFU WA KITHIRI JIJI LA MBEYA


Biashara ikiendelea

Soko la Makunguru

Uchafu



Gari la Almashauri ya Jiji la Mbeya likiwa linapita kwenye mitaa mbalimbali kubeba takataka.

Kaimu Mkuu wa Idara ya usafirishaji na Mazingira wa jiji la Mbeya Bw January Ndunguru(aliye shika kichwa)akiwa na Afisa Afya wa jiji Bw Odas Aron  wakitafakari jinsi ya kuondoa Uchafu uliokaa kwa muda wa wiki mbili katika Soko la Makunguru Darajani.(Picha  na David Nyembe wa Fahari News)



Afisa Afya wa jiji la  Mbeya Bw Odas Aron Akionyesha maji ambayo yamepigwa marufuku kuuzwa ambayo yamefungwa kwenye mifuko ya plastiki(Picha na David Nyembe wa Fahari News)


0 Responses to “UCHAFU WA KITHIRI JIJI LA MBEYA ”

Post a Comment

More to Read