Saturday, October 17, 2015
TAZAMA PICHA >> -NYUMBANI KWA DEO FILIKUNJOMBE NI VILIO TU,
Do you like this story?
![]() |
Mke wa marehemu Deogratias
Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto) akilia kwa uchungu baada ya kupata
tarifa za kifo cha mumewe
|
![]() |
Nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe
Mbagala Kijichi, Dar es Salaam
|
![]() |
Ndugu, jamaa na marafiki wakionekana
wenye huzuni nyumbani kwa Deogratias Filikunjombe.
|
![]() |
Capt. William Silaa enzi za uhai wake. |
![]() |
Chopa iliyosababsha kifo cha
Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili.
|
Mbunge wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule Filikunjombe
amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya wanyama ya Selous,
pamoja na rubani Kepteni William Silaa mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Ludewa.
Wengine waliofariki kwenye ajali hiyo ni Vitalis Blanka
haule na Ofisa Tawala wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi Mkwera ambaye alikuwa
mtaalam wa mifugo.
PICHA: DENIS MTIMA/GPL NA MTANDAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “TAZAMA PICHA >> -NYUMBANI KWA DEO FILIKUNJOMBE NI VILIO TU, ”
Post a Comment