Tuesday, December 8, 2015
ALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA WAENDELEA KUPOKEA VIFAA MBALIMBALI KUTOKA KWA WADAU.
Do you like this story?
| Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Bw Mussa Mapunda akipokea vifaa vya Usafi kutoka kwa Mwenyekiti wa Uwamu Saccos Bi Rose Mlaga.(Picha na David Nyembe wa Fahari News) |
| Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Bw Mussa Mapunda akipokea vifaa vya Usafi kutoka kwa Afisa Utumishi wa Lulu Saccos Bw Iyan Simwaga .(Picha na David Nyembe wa Fahari News) |
| Ally Rich Sanaa (Arts)Limited akionyesha stika alizotengeneza kwaajili ya kuimiza Usafi katika jiji la Mbeya ambazo zimebandikwa kwenye magari mbalimbali.(Picha na David Nyembe wa Fahari News) |
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.gif)

0 Responses to “ALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA WAENDELEA KUPOKEA VIFAA MBALIMBALI KUTOKA KWA WADAU. ”
Post a Comment