Sunday, August 7, 2016
DR MWAKA ASAKWA NA POLISI MASAA 24
Do you like this story?
Kamanda
msaidizi wa Polisi Mkoa wa kipolisi Ilala Salum Hamadi anesma bado wanamtafuta
mmiliki wa kampuni ya Foreplan Clinic Dk Juma Mwaka kama walivyo agizwa na
Naibu Waziri wa Afya.
Hatua
hiyo ya utekelezaji wa agizo la Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia,
watoto na wazee Dk Hamisi Kigwangalla la kuagiza kuendelea kumtafuta baada ya
kufanya ziara ya kustukiza ofisi kwa Dk Mwaka na kukuta huduma bado zinaendelaa
Kamanda
Salum amesema kuwa Vijana wake bado wanaendelea kumtafuta ndani ya saa 24 kama
walivyo agizwa na Dk kigwangalla hapo jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “DR MWAKA ASAKWA NA POLISI MASAA 24”
Post a Comment