Sunday, December 8, 2013





UHURU MARATHON YATIMUA VUMBI LEO

Mbio za Uhuru Marathon zinatarajiwa kuanza LEO asubuhi katika viwanja vya leaders club jijini Dar es salaam. Mgeni Rasmi wa Mbio hizo atakuwa Muheshimiwa Makamo wa Rais Dk. Mohamed Khalid Billal.

Waziri wa Habari, Vijana, Tamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara amesema mbio za marathon zitazinduliwa rasmi hapo kesho tarehe 8 Disemba 2013 na kuomba watanzania na wazamini kujitokeza kusheherekea siku ya uhuru.

Uhuru wetu, Umoja wetu, Amani yetu, Tuitunze.


0 Responses to “ ”

Post a Comment

More to Read