Sunday, December 8, 2013



FAINALI YA TUSKER PROJECT FAME 6 KUFANYIKA LEO


Fainali ya kumtafuta mshindi wa Tusker Project Fame 6 itafanyika leo jijini Nairobi, kenya huku ikishindanisha washiriki sita kutoka mataifa tofauti  Tanznia ikiwakilishwa Hisia ambaye mtanzania pekee aliyetinga fainali kwa msimu huu. Washiriki wengine ni Nyambura na Amos kutoka Kenya, Daisy kutoka Uganda, Patrick kutoka Rwanda na Hope kutoka Burundi.

0 Responses to “ ”

Post a Comment

More to Read