Thursday, February 27, 2014
MIAKA YA ETO"O YALETA UTATA
Do you like this story?
Hiyo ilikua ni kauli ya kocha Jose Mourinho akimzungumzia Samuel Etoo
na baadae mpenzi wa zamani wa Eto’o aliongea kuhusu umri wa mchezaji
huyo kitu ambacho kimewashangaza watu wengi.
Anna Barranca alikuwa mpenzi wa zamani wa Eto’o na kupata mtoto mmoja
wa kike ambaye hivi sasa ana miaka 11 amesema Eto’o ana miaka 39
kuelekea 40 na sio 35.
Mwanamke huyo amesema kwamba alijua kuhusu umri wa Eto’o wakati wapo
Cameroon kutoka kwa mtu ambaye alikua pamoja na Etoo tangu utotoni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MIAKA YA ETO"O YALETA UTATA ”
Post a Comment