Wednesday, May 14, 2014
HII KALI...ABIRIA UKIKUTWA UMEPANDA PIKIPIKI ISIYO NA LESENI UTAFIKISHWA MAHAKAMANI.
Do you like this story?
.
Meya wa jiji la
Dar es Salaam,Dr Didas Massaburi amesema abiria
wataokutwa wakiwa wamepanda Pikipiki maarufu
kama Boda boda katika maeneo ambayo pikipiki
hizo hazina leseni ya kufanya biashara
watakamatwa na kufikishwa mahakamani pamoja
na dereva.....
Alisema pia
wafanyabiashara wadogo wataokutwa wakifanya
biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa kisheria
ikiwemo maeneo ambayo yamefanyiwa usafi na
Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam
hivi karibuni watakamatwa na kufikishwa
mahakamani.....
Meya huyo aliyasema
hayo jijini Tanga hivi karibuni alipokuwa
akizungumza na waandishi wa habari ambao
walitaka kufahamu msimamo wa Jumuiya ya
Tawala za Mitaa Tanzania ( ALAT )
kuhusu kunyanyaswa kwa waendesha bodaboda
katika maeneo mbalimbali nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “HII KALI...ABIRIA UKIKUTWA UMEPANDA PIKIPIKI ISIYO NA LESENI UTAFIKISHWA MAHAKAMANI.”
Post a Comment