Wednesday, May 14, 2014

LISSU AFANANISHWA NA SANTURI MBOVU.




Mbunge wa viti maalumu , maida hamed abdallah (CCM) amemfananishwa msemaji  wa kambi ya upinzani kuhusu bajeti ya ofisi ya makamu wa rais (muungano) tundu lissu (chadema) kuwa ni santuri mbovu.

Lakini wakati mbunge huyo na wengine wakimponda lissu alikuwa kicheka a kufikia hata kufuta machozi ya kicheko, akionekana kuashiria  kutotilia maanani vijembe hivyo hata pale mbunge wengine walipokuwa wakimponda yeye ama  kambi ya upinzani kwa jumla.

Mbunge abdallah  alikuwa akichangia hotuba ya bajeti ya ofisi ya makamu wa rais  kwa mwaka wa fedha 2014/2015 .

Amesema kuwa wakati akito amaoni ya kambi ya upinzani alikuwa santuri mbovu kwa kurudia yale  ambayo aliyasema wakti wa bunge  maalumu la katiba.

Hivyo  ndivyo maanda ya santuri mbovu aliyokuwa akisema  leo asubuhi ni kama yale aliiyoyasema wakati wa bunge la katiba alisema.

Amesema kuwa alikuwa anamsikiliza balozi wa Zanzibar  alivyokuwa nautetea muungano  kwa kuupinga na kuukandamiza  na kwamba yeye ni mpinga muungano.

0 Responses to “LISSU AFANANISHWA NA SANTURI MBOVU.”

Post a Comment

More to Read