Wednesday, May 14, 2014
ORODHA YA WASANII WA KILI MUSIC TOUR 2014 YATAJWA, LADY JAY DEE "OUT"
Do you like this story?
Orodha ya wasanii watakaoshiriki kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo.
Mwaka huu zaidi ya wasanii 30
watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza
Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex,
Proffesor Jay, Izzo Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee
Yusuph, Shilole na Mwasiti.
Wengine ni Nay wa Mitego, Mwana FA,
Khadija Kopa, Juma Nature, Warriors From the East, Madee, Young Killer, Jambo
Squad, AY, Vanessa Mdee, Mashujaa Band, Rich Mavoko na Christian Bella.
Hata hivyo Lady Jaydee aliyekuwepo
kwenye ziara hiyo mwaka jana, ameondolewa mwaka huu.
Chanzo kimoja kimeiambia Mpekuzi kuwa sababu ya kuondolewa ni ile tweet ya dharau aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika.
Chanzo kimoja kimeiambia Mpekuzi kuwa sababu ya kuondolewa ni ile tweet ya dharau aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika.
Chanzo hicho kimesema pia kuwa Roma
alikuwa awepo kwenye ziara hiyo lakini ujuaji wake umemfanya apigwe
chini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ORODHA YA WASANII WA KILI MUSIC TOUR 2014 YATAJWA, LADY JAY DEE "OUT"”
Post a Comment